Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Njoo PM basi tuelewane. Au ulikua unazingua tu?
Katangaze shida yako humo.
Kama unataka link nyingine sema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo PM basi tuelewane. Au ulikua unazingua tu?
acha kutuzibia rizki
Mzushi wewe, unani enjoy tu.acha kutuzibia rizki
Sipo Telegram mkuu.
Shida mchumba wangu yupo mbali mkuu (Mwanza); so, kuonana mara chache unakuta hata miezi mitatu inapita hatuonani. Sasa muda wote huo bila kuchakata K mkuu ni kipengeleHahaha kwahiyo umeamua kucheza na K ya mtu?
Ah mi nikajua wewe ni loyal kwa husband so unacheza mind game na huyu bwanaacha kutuzibia rizki
Kila laheri, nakuombea upate.....Hahahaha...!! Yaani mkuu unaniomba msamaha halafu unarusha tena dongo.
Mihemko ni kweli imenizidi, hilo sikatai.
Upweke ni mbaya sana aisee, i hope nitapata wa kuliwazana nae hapa JF
Shukrani sana mkuuKila laheri, nakuombea upate.....
nafuta mkwanja, ukiwa na hela watakuja wenyewe.....Habari wana JamiiForums.
Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke.
Natafuta mwanamke wa kula nae maisha, awe ndani ya Dar es salaam. Awe smart na mchangamfu, asiwe tegemezi, awe ni muelewa na mwenye exposure juu ya masuala mbalimbali. Mimi ni mpweke sana na mara nyingi huwa nakosa company.
Nahitaji mwanamke ambae anaweza kunipa company na pia tukawa tuna enjoy na pia kuliwazana. Sitafuti mahusiano ya muda mrefu, bali kupeana raha na company tu hapa na pale. Awe na umri wa kati ya miaka 19-33.
Tutapima magonjwa kama HIV, magonjwa ya ngono kabla ya kufanya chochote.
Check me PM tudiscuss zaidi kama una interest, na kama tutaelewana basi mengine yatafuata.
Hela ya kula na kunywa bia kuenjoy ipo mkuu.nafuta mkwanja, ukiwa na hela watakuja wenyewe.....
Pesa ya kula bata ipo mkuuww jamaaa huna pesa ndo maana umeongea issue ya tegemezi nachokushauri tafuta pesa hakuna k za bule
eeh jamani sasa utamu ukikolea?Hakuna kukoleana mkuu. Ni kutulizana mihemko tu basi. Kwa sababu mimi nina mtu wangu permanent huyo siwezi kumuacha asilani!! Sema tu changamoto ya umbali kwa sasa inanifanya niwe mpweke maana kuonana labda ni mara moja kwa miezi mitatu. Muda wote huo hapo katikati nahitaji mtu wa kutuliza hii mihemko.
No strings attached
Pesa ya kula bata ipo mkuu
[/QUO hapo sawa mkuuuu
Hakuna utamu kukolea mkuu, inakua inaeleweka kuwa is just enjoyment for both sides, no strings attached.eeh jamani sasa utamu ukikolea?
Anazingua tu huyu mkuu.Ah mi nikajua wewe ni loyal kwa husband so unacheza mind game na huyu bwana
Acha udwanzi mkuu; Nikuunganishe ukale kitumbua changu?Mkuu shem wangu nimpelekee [emoji91]
Nko mwanza [emoji39]
Pombe mimi wala si mpenzi sana mkuu. Huwa nakunywa mara chache sana na sio hadi kulewa. Pombe kali kama ma K Vant au Konyagi huwa naziona chungu sana mkuu, hata nikilazimisha kunywa huwa si enjoy.Weee mzee kunywa pombe utakuja kushukuru uyo mwanamke huto enjoy trust me mkuu