Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Sasa si ndio ubahili wenyewe huo? starehe gharama jomba ama sivyo utajikuta unakua mpweke na kukosa company maisha yako yote.
Starehe gharama nalijua hilo. Ndio maana nimesema nitalipia costs za starehe. Costs nisizozitaka ni zile mtu anakugeuza baba yake anakuomba hadi hela ya kula kila siku yeye ni kuomba hela tu
 
Nitahudumia gharama za fun na pia pale tutakapoelewana kulingana na huduma. Ila utegemezi isiwe ile kila siku mtu anapiga simu kuomba hela mara ya kusuka mara ya gesi mara sijui mafuta.
Okay sawa....kila laheri ukimpata usitusahau mrejesho, uturingishie maraha unayopewa
 
Okay sawa....kila laheri ukimpata usitusahau mrejesho, uturingishie maraha unayopewa
Mkuu unaninyanyasa kweli kweli. Mimi ni mtu mkimya sana na mtaratibu kiukweli. Mtu wangu permanent yuko Mwanza huko. I really wish ningeweza kupata mdada ambae tungepeana raha tu na kuenjoy maisha kunipunguzia upweke bila kuwa na future expectations za mahusiano permanent.
 
Sheria mkononi shida sana. Upweke unanimaliza.
Nina mtu wangu permanent sema yeye yuko Mwanza anafanya kazi huko, sasa mara nyingi huwa nakua mpweke sana kiukweli.
Aaaaah okay sasa umeeleweka kumbe unataka mchepuko tu wa kupunguza punguza hamu za hapa na pale nikajua maswala serious....
 
Back
Top Bottom