Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Hahaha kwahiyo umeamua kucheza na K ya mtu?
Shida mchumba wangu yupo mbali mkuu (Mwanza); so, kuonana mara chache unakuta hata miezi mitatu inapita hatuonani. Sasa muda wote huo bila kuchakata K mkuu ni kipengele
 
Habari wana JamiiForums.

Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke.

Natafuta mwanamke wa kula nae maisha, awe ndani ya Dar es salaam. Awe smart na mchangamfu, asiwe tegemezi, awe ni muelewa na mwenye exposure juu ya masuala mbalimbali. Mimi ni mpweke sana na mara nyingi huwa nakosa company.

Nahitaji mwanamke ambae anaweza kunipa company na pia tukawa tuna enjoy na pia kuliwazana. Sitafuti mahusiano ya muda mrefu, bali kupeana raha na company tu hapa na pale. Awe na umri wa kati ya miaka 19-33.

Tutapima magonjwa kama HIV, magonjwa ya ngono kabla ya kufanya chochote.

Check me PM tudiscuss zaidi kama una interest, na kama tutaelewana basi mengine yatafuata.
nafuta mkwanja, ukiwa na hela watakuja wenyewe.....
 
Hakuna kukoleana mkuu. Ni kutulizana mihemko tu basi. Kwa sababu mimi nina mtu wangu permanent huyo siwezi kumuacha asilani!! Sema tu changamoto ya umbali kwa sasa inanifanya niwe mpweke maana kuonana labda ni mara moja kwa miezi mitatu. Muda wote huo hapo katikati nahitaji mtu wa kutuliza hii mihemko.
No strings attached
eeh jamani sasa utamu ukikolea?
 
Weee mzee kunywa pombe utakuja kushukuru uyo mwanamke huto enjoy trust me mkuu
Pombe mimi wala si mpenzi sana mkuu. Huwa nakunywa mara chache sana na sio hadi kulewa. Pombe kali kama ma K Vant au Konyagi huwa naziona chungu sana mkuu, hata nikilazimisha kunywa huwa si enjoy.
 
Back
Top Bottom