Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Ahsante kwa ushauri mkuu, japokua umenilaumu pia kwenye ushauri wako.
Is not easy mkuu kwa mwanaume rijali aliekamilika na anaeshiba vizuri kukaa miezi mitatu bila kufanya ngono. Wewe mkuu umewahi kukaa miezi mitatu bila kufanya ngono? Ni mtihani sana mkuu.
UKIMWI ma condom yapo mkuu nitayatumia.

Ngono ni mindset mkuu , kama kuna ratiba ya kwenda mwanza kila miezi mi3 why usivumilie? Ukifanya mazoezi ya kuchosha mwili hata kama unakula na unashiba hauwezi kuwa na nyg mshindo!! Sikushauri kutafuta manzi wa kuenjoy nae kipindi cha mpito ,kuna manzi wengine wachawi gusa unase unamsahau huyo wa mwanza mazima na masharti yako yote hayo asikuombe hela unayasahau wewe ndio unakuwa unamtumia bila kuombwa! Condom utavaa mara ya kwanza tu mara ya pili unauza mechi.
 
Ushauri wako ni mzuri sana mkuu na una nia njema.
Ila mkuu umewahi kukaa miezi mitatu bila kuchakata K?
 
Habari wana JamiiForums.

Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke.

Natafuta mwanamke wa kula nae maisha, awe ndani ya Dar es salaam. Awe smart na mchangamfu, asiwe tegemezi, awe ni muelewa na mwenye exposure juu ya masuala mbalimbali. Mimi ni mpweke sana na mara nyingi huwa nakosa company.

Nahitaji mwanamke ambae anaweza kunipa company na pia tukawa tuna enjoy na pia kuliwazana. Sitafuti mahusiano ya muda mrefu, bali kupeana raha na company tu hapa na pale. Awe na umri wa kati ya miaka 19-33.

Tutapima magonjwa kama HIV, magonjwa ya ngono kabla ya kufanya chochote.

Check me PM tudiscuss zaidi kama una interest, na kama tutaelewana basi mengine yatafuata.
Kwa ninavyokuona mwanangu naona kama wewe si mtoto wa mjini. Hivyo, ukipata mtoto wa mjini utaumia nakujuta.
 
Kwa ninavyokuona mwanangu naona kama wewe si mtoto wa mjini. Hivyo, ukipata mtoto wa mjini utaumia nakujuta.
Unaweza ukawa sahihi kuhusu kutokua mtoto wa mjini....!! ila nina technic zangu kuhakikisha kuwa i will be in control of everything kwenye ishu ya mwanamke wa kutoleana stress.
 
Back
Top Bottom