Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Huwa tunatumia style iitwayo 'nyoka'Wewe nakuaminia loh. Mi siwezi
Unamuwahi kabla hajakuwahi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa tunatumia style iitwayo 'nyoka'Wewe nakuaminia loh. Mi siwezi
Mie nimesema hapa, huyu sio muhitaji.nilimwendea na ile ID yangu naona anatoa toa macho tu
Loh ndo inakuajeHuwa tunatumia style iitwayo 'nyoka'
Unamuwahi kabla hajakuwahi...
limenikuta nikajua ni hatua ya kuzeekaNishastaafu nahisi baba chanja kaniroga namuwaza yeye tu mxiuuuu
tuendelee tu na wale wa kuja pm kimya kimyaMie nimesema hapa, huyu sio muhitaji.
Ni janja janja tu bhana.
Mie mwenyewe japo kilometa zimeenda ila nimejilipua kwa ile ingine, naona kimya.
Au anatufungulia uzi kimya kimya?
Ukifika, akikukubali....Loh ndo inakuaje
Ha haaa itakuwa ni mojawapo ya hatua ya kuzeeka hujakosea. Loh si kwa kubadilika huku...sishtuki kwa lolotelimenikuta nikajua ni hatua ya kuzeeka
Kwa kweli.tuendelee tu na wale wa kuja pm kimya kimya
Basi we mwenzangu matawi ya juu. Upewe laki??? Mtu upo nae miaka na miaka mnaondoleana stress utaishia kupewa 20 au 30Ukifika, akikukubali....
Anakuwekea salio lako lote kwenye simu.
Wewe kazi yako ni kujituma tu kwa bed na kubana vichenchi vya sokoni huku ukijua salio liko sehemu salama.
Ila ukisubiri malipo siku ya kuondoka...unaweza ulie na kusaga meno.
Unamaliza style zote mpaka za mumeo mtarajiwa, afu unaambulia laki moja.
Haihuu....anaweka mpunga mezani, mnamalizana kibingwa.
Hiko ndo kitu sikitaki amwali.Basi we mwenzangu matawi ya juu. Upewe laki??? Mtu upo nae miaka na miaka mnaondoleana stress utaishia kupewa 20 au 30
Tena ni mtu wa kudumu sio mpita njia woi siku hizi namwangalia tu anajisemesha semesha na mie naweka sura ya mbuzi Kama sielewi vile. Nashukuru sina tena mzuka wa hayo makituHiko ndo kitu sikitaki amwali.
Ina maana jamaa akutumie wiki kadhaa, na hivo uko ndani kwake anakupelekea moto...unatii tu.
Lazima mpunga mrefu uhusike.
Unamkumbuka yule jamaa wa Ara,
Aliweka dau la mil kadhaa.
Katuma nusu, akaambiwa huyo demu sio haji ng'o (jf kuna wambea) akanambia nimrudishie pesa.
Weeeeee....nikamwambia imeisha hiyo.
Nilikuwa nasubiri arushe yote..nimfurahishe ili tupunguziane dhambi
Hongera kwa kumpata wa kukufanya usipate mzuka.Tena ni mtu wa kudumu sio mpita njia woi siku hizi namwangalia tu anajisemesha semesha na mie naweka sura ya mbuzi Kama sielewi vile. Nashukuru sina tena mzuka wa hayo makitu
Loh wewe ni shida😀Hongera kwa kumpata wa kukufanya usipate mzuka.
Me hata baba mtoto wangu, akitaka game....ni lazima anigharamikie kama vile anaanza kunitongoza upya.
Lazima atume nauli...na ya kutolea.
Kama hataki, tutakutana clubs.
Acha uongo wewe binti....!! Unaongopa hadi shetani mwenyewe anashangaa!! Limi umekuja PM?nilimwendea na ile ID yangu naona anatoa toa macho tu
Hahahah jamaa ni fwala sana wwUkipata wawili nitupie mmoja, awe na chura
Hahahaha mamaye majibu ya kukata na shokaKuenjoy maisha na ubahili hata haviendani....
Mbona tulishaongea na ikaonekana wewe uko commited na huna mpango wa kuwa side chick? Hebu kuwa mkweli bwana, acha kuenjoy watu hapa. Evelyn SaltKhaaaaaaa we mchumba mbona muongo hivo????? Hayo tumeyaongea wapi.
Wazi imesomeka watakujaNdio mkuu. Yaani we have fun,gharama ya fun nailipia sio ishu, ila isiwe tena anaanza vibomu mara leo gesi imeisha, kesho kodi imeisha, keshokutwa hela ya kusuka. Such stuffs zinakera. Ila kumpa support hapa na pale sio ishu.
So far waliokuja kwenye huu uzi wamekuja kuni-joke tu na kunienjoy. Kina Evelyn Salt Hornet Madame B Demi na wenzao.Wazi imesomeka watakuja