Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Overhead Costs ndio huzitaki zile 😅😅😅 gharama za pasua kichwa
 
Mbona tulishaongea na ikaonekana wewe uko commited na huna mpango wa kuwa side chick? Hebu kuwa mkweli bwana, acha kuenjoy watu hapa. Evelyn Salt
Mchumba tumeongea wapi? Mi mbona sijahangaika hata kuingia kwenye hiki kinyang'anyiro make mi ni tegemezi full... hicho kigezo kimeniondoa
 
Mchumba tumeongea wapi? Mi mbona sijahangaika hata kuingia kwenye hiki kinyang'anyiro make mi ni tegemezi full... hicho kigezo kimeniondoa
Mtegemezi full hapana kwa kweli. Mimi nataka wa kuegeshana nae tu. Tunaemjoy maisha, gharama za hapa na pale sio ishu, ila utegemezi full, no.
 
Na kutokua na chuchu saa 6 inaleta shida, wanadai eti mwanamke kama hana hizo saa 6 asikae juu wakati wa kuchangamshana make wanaume wamechoka kupigwa makofi
Ukilala ubavu sasa uwiiii majanga, kifo cha mende kila titi linaangukia upande wake. Ni wazee wenzetu tu wanatuvumilia
 
Legeza vigezo basi.....
Mtu mweyewe unatafuta tu wa kukupunguza nyg ila mashart kibao kama wataka mke, legeza mashart wawekezaji tuwekeze.
Mchumba permanent yuko tayari ambae ndo mke mtarajiwa, huyo anahudumiwa. Ila wa kupunguziana stress lazima makubaliano yawe clear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…