Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano yenye malengo

Awe na sifa zifuatazo
  • Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30
  • Awe Mkristo
  • Awe tayari kupima hiv
  • Awe anaishi dar es salaam kimara na maeneo ya karibu itakua vizuri
  • Elimu bachelor ya kozi yeyote ile
Sifa zangu
  • Nina miaka 33
  • Kazi; duka kariakoo
  • Sina mtoto
Ivi kwanini na Inakuwaje mtu unakuja kutafuta mchumba mtandaoni..
Huko ulipo unapoish mtaani hakuna kabisa kweli,wanawake wakila aina walio jaa huko sehem za ibada,kwenye biashara unashndwa kutafta Mmoja mpaka uje huku,..
Ivi shida inakua ni Nini..
Mtakuja kukutana na majini humu.
 
Waambie jamiiforum waliondoe jukwaa la love connect
 
Awe na sifa zifuatazo
  • Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30
  • Awe Mkristo
  • Awe tayari kupima hiv
  • Awe anaishi dar es salaam
  • Elimu bachelor ya kozi yeyote ile
Sifa zangu
  • Nina miaka 33
  • Kazi; duka kariakoo
  • Sina mtoto

Elimu yako?
 
Shida sio love conect au any social network,ni kwanini utafte mwenza mtandaoni,shida inakua Nini..
Ghafla tu mnakubaliana mtandaoni mnakua wapenzi.
Nimekuambia usinlalamikie mimi watumie mod sms wafute jukwaa la love connect
Ni njia niliyochagua sasa iweje wewe uumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…