ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Me wakijua unaweka pesa mbele kama tai utalombwa hadi ushangae, shauri yako.Ana hela?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me wakijua unaweka pesa mbele kama tai utalombwa hadi ushangae, shauri yako.Ana hela?!
Ilimradi lengo limefikiwa🙌🏾Me wakijua unaweka pesa mbele kama tai utalombwa hadi ushangae, shauri yako.
mbona ka umekata tmaa mkuu 😀
Ivi kwanini na Inakuwaje mtu unakuja kutafuta mchumba mtandaoni..Awe na sifa zifuatazo
Sifa zangu
- Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30
- Awe Mkristo
- Awe tayari kupima hiv
- Awe anaishi dar es salaam kimara na maeneo ya karibu itakua vizuri
- Elimu bachelor ya kozi yeyote ile
- Nina miaka 33
- Kazi; duka kariakoo
- Sina mtoto
Waambie jamiiforum waliondoe jukwaa la love connectIvi kwanini na Inakuwaje mtu unakuja kutafuta mchumba mtandaoni..
Huko ulipo unapoish mtaani hakuna kabisa kweli,wanawake wakila aina walio jaa huko sehem za ibada,kwenye biashara unashndwa kutafta Mmoja mpaka uje huku,..
Ivi shida inakua ni Nini..
Mtakuja kukutana na majini humu.
Waambie jamiiforum waliondoe jukwaa la love connect
Wewe mbona hutulii sasa unataka ukawe winga kariakoo?Tulioishia form 4 hatuna vigezo 😞
Awe na sifa zifuatazo
Sifa zangu
- Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30
- Awe Mkristo
- Awe tayari kupima hiv
- Awe anaishi dar es salaam
- Elimu bachelor ya kozi yeyote ile
- Nina miaka 33
- Kazi; duka kariakoo
- Sina mtoto
Jamn eh 🙌🏾Wewe mbona hutulii sasa unataka ukawe winga kariakoo?
Ndo kigezo anachopendalack of exposure make them impressed by nonsense
Mtu anaoa sababu ya Tako tf😤
Nisikuone kwenye thread hizi sweetie.... na mimba yako una tanga tanga tu huku...Jamn eh 🙌🏾
Naacha sweetie 😞Nisikuone kwenye thread hizi sweetie.... na mimba yako una tanga tanga tu huku...
Shida sio love conect au any social network,ni kwanini utafte mwenza mtandaoni,shida inakua Nini..Waambie jamiiforum waliondoe jukwaa la love connect
Nimekuambia usinlalamikie mimi watumie mod sms wafute jukwaa la love connectShida sio love conect au any social network,ni kwanini utafte mwenza mtandaoni,shida inakua Nini..
Ghafla tu mnakubaliana mtandaoni mnakua wapenzi.
Umesharidhika endelea na Shughuli zakoMto mada una vigezo utafikiri mganga wa kienyeji?
Au unataka kutoa kafara nini?.!