Natafuta mwanamke wa kujenga nae maisha

Natafuta mwanamke wa kujenga nae maisha

Nimekuuliza wewe mwenye uzi na unayetafuta mke wakati ulijishaua unaye..!!

Kweli wewe betri limevimba ulijishongondoa siku ile kumbe ulikuwa unatafuta kiki kwenye uzi wa Mariposa??
Mbona kama unakariri maisha mkuu, alafu wapi nimeandika Nina mke??, Aya tufanye Nina mke( kwa mawazo Yako madogo hayo ) Kuna shida kuongeza mke wa pili kama dini yangu inaruhusu??. Tumia akili sawa?
 
Mbona kama unakariri maisha mkuu, alafu wapi nimeandika Nina mke??, Aya tufanye Nina mke( kwa mawazo Yako madogo hayo ) Kuna shida kuongeza mke wa pili kama dini yangu inaruhusu??. Tumia akili sawa?
Kwa akili gani unazomiliki? 😹😹
Wewe kichwani umeme mdogo, mwanaume mwenye akili hawezi kutype utopolo km huu wa kutafuta mke JF, sema unatafuta likes na attention..!! Hovyoo
 
Inawezekana nikagonga 29 bila kupata mtu wa kunionea huruma?🤔
Ukitaka kuona muda unaenda hesabu kwa kutumia sekunde

Ukigonga 30+ kwisha habari yako utaanza kutafuta mwanaume yoyote ili mradi awe anapumua

Adui namba 1 wa mwanamke aliye single ni umri
 
Wewe huwezani na kila mwanamke na ndio maana wanawake wa mtaani kwako, kazini, kijijini kwenu na njiani umeshindwana nao sasa unataka wa jf utatuweza wapi?
Mkuu, sema ww ndio hatutawezana acha kujumuisha wengine,, hata hivyo nilishaweka bayana Toka hapo mwanzo mbona.
Halafu hongera, unayajua maisha yangu kuliko Mimi mwenyewe

Kiufupi ww na mwenzio Lamomy mkae kwa kutulia, na mjaribu kupunguza UJUAJI MWINGI sawa?
 
Kikao cha KATAA NDOA tutakufunga na kamba kwenye kiti kilicho karibu na speakers ili usikie na kuelewa vizuri...
Kataa Ndoa uimarike kiuchumi... Ndoa ni wizi upuuzi ushamba uoga utoto ushenzi ushetani umasikini magonjwa na kupoteza muda... Sasa wewe cha ajabu unatafuta matatzo
Tatizo trump kazuia USAID mkuu
 
Theresa49 na jamvi la wanawake mnaitwa huku, kweli mkose mwali hata mmoja 😎
Mi mshangazi niliyekomaa, unaniita huku kufanya nini ndugu yangu 🤣🤣🤣🤣.

Hilo jina la ID ya huyu mume mtarajiwa linanipa wasiwasi. Anyway, kama yuko siriazi kweli atume hilo hitaji lake gazetini au redioni, huku JF anapoteza muda tu.
 
Back
Top Bottom