Natafuta mwanamke wa kujenga nae maisha

Wa mitandaoni hapana nilishajaribu yalinikuta mazito.
Aisee wee besty una majanga yaani kila sehemu umejaribu lakini wapi basi subiri ujaribu wa mbunguni🀣🀣🀣🀣
 
Aisee wee besty una majanga yaani kila sehemu umejaribu lakini wapi basi subiri ujaribu wa mbunguni🀣🀣🀣🀣
Kwani hii story si nshakuambia usijifanye umesahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…