Natafuta mwanamke wa kuoa

Ulipokuwa kijana ulisema Kataa Ndoa....maji yamefika shingoni unatafuta Japo Single mama.

Kila la kheri ndugu.
 
Akioa kwa sababu ya huruma zaidi atakuwa amejichanganya zaidi maana sio wote wa design hiyo huwa na upendo wa dhati, wengine hukubali ili kujikinga mvua....akipata anakuwa zuwena cha woooteee
Ndoa zinazooza mwezi mmoja baada ya kutoka ukumbini ni zile zachips kuku na bia bardii. Huyu mdada amepigika na jua akimpata mtu hatamfanyia vituko ili arudi barabarani, tayari kesha pitia darasa la kujitambua.
 
Tumeshaziona ndoa za kuoneana huruma nazo hazidumu labda tu upendo kati yao.....kumsaidia mtu sababu ya shida zake sio lazima akulipe wema kama uliomtendea eti akupende, wakishapata wanasahaugi tena faster na kumliza mwanaume juu tusidanganyanyane mambo ya zubeda wa prof Jay yapoooo
 
Nim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…