Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikwambie kitu mumyMfate pm
NiambieNikwambie kitu mumy
Iko hivi umkichase mwanamke huwa ana kawaida ya kukimbiaNiambie
Kumbe unalijua hiloIko hivi umkichase mwanamke huwa ana kawaida ya kukimbia
Mimi legend bhana kwenye hizo mambo mumy,,,so ngoja nisubir kwa kitambo fulaniKumbe unalijua hilo
Ulipokuwa kijana ulisema Kataa Ndoa....maji yamefika shingoni unatafuta Japo Single mama.Awe ni mkristo wa dhehebu lolote au muislamu,mimi binafsi ni mkristo Nina miaka 43,nipo hapa Tanzania natafuta single mama yoyote ambaye anahitaji mtu wa kumfariji na kujenga familia stable, pia asiwe mpenda vileo ,pombe bangi au sigara. Awe pia mtu aneyejishughulisha katika kazi zenye heshima au ujasiriamali wa aina yoyote ule.awe tuu ni mtz wa kabila lolote. Mimi sio tajiri ,Wala sio fukara kabisa
kkama utakuwa interested karibu pm ila uwe tayari kupima afya pia, natanguliza shukrani zangu za dhati
Ndoa zinazooza mwezi mmoja baada ya kutoka ukumbini ni zile zachips kuku na bia bardii. Huyu mdada amepigika na jua akimpata mtu hatamfanyia vituko ili arudi barabarani, tayari kesha pitia darasa la kujitambua.Akioa kwa sababu ya huruma zaidi atakuwa amejichanganya zaidi maana sio wote wa design hiyo huwa na upendo wa dhati, wengine hukubali ili kujikinga mvua....akipata anakuwa zuwena cha woooteee
Tumeshaziona ndoa za kuoneana huruma nazo hazidumu labda tu upendo kati yao.....kumsaidia mtu sababu ya shida zake sio lazima akulipe wema kama uliomtendea eti akupende, wakishapata wanasahaugi tena faster na kumliza mwanaume juu tusidanganyanyane mambo ya zubeda wa prof Jay yapooooNdoa zinazooza mwezi mmoja baada ya kutoka ukumbini ni zile zachips kuku na bia bardii. Huyu mdada amepigika na jua akimpata mtu hatamfanyia vituko ili arudi barabarani, tayari kesha pitia darasa la kujitambua.
Awe ni mkristo wa dhehebu lolote au muislamu,mimi binafsi ni mkristo Nina miaka 43,nipo hapa Tanzania natafuta single mama yoyote ambaye anahitaji mtu wa kumfariji na kujenga familia stable, pia asiwe mpenda vileo ,pombe bangi au sigara. Awe pia mtu aneyejishughulisha katika kazi zenye heshima au ujasiriamali wa aina yoyote ule.awe tuu ni mtz wa kabila lolote. Mimi sio tajiri ,Wala sio fukara kabisa
kkama utakuwa interested karibu pm ila uwe tayari kupima afya pia, natanguliza shukrani zangu za dhati