Natafuta mwanamke wa kuzaa nae nitunze mtoto tu kuoa siwezi sitaki utumwa

Natafuta mwanamke wa kuzaa nae nitunze mtoto tu kuoa siwezi sitaki utumwa

You lack two things; Money & Confidence, jitahidi ktk hayo mambo ndoa haitakuwa utumwa hata siku moja
 
Hii kitu ipo sana huko mbele na kuna watu ndiyo ajira yao hii... Lkn hapa nashangaa watu wanaponda
 
Back
Top Bottom