Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Sawa watakujaAsante kwa kunipa
Bloo nataka mtoto tu sitaki mahusiano na kiumbe chochote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa watakujaAsante kwa kunipa
Bloo nataka mtoto tu sitaki mahusiano na kiumbe chochote
Kulikon mkuu?Anyways hivi wakuu hakuna namna mtu anaweza kuwashitaki madaktari kwa kusababisha kifo cha mtu kwa uzembe?,.
unakimbilia nini kwenye ndoa kwa umri uo?Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo:
19 to 32 years
Mweupe na beautiful
Mrefu kiasi
Sio mnene wala mwembamba sana
Mwenye dimpoz
Awe tayari kushiriki tendo
Mwenye kujua kulea mtoto
Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3 years nitatoa hela shillingi milioni tano cash
Sihitaji ndoa wala mahusiano
Kama una vigezo njoo pm au mshirikishe rafiki yako/dada yako
Bloo Soma vizuri nilichoandika kamwe sitaki ndoa wala mahusiano mimi nataka mwanamke mrembo anizalie mtoto tuunakimbilia nini kwenye ndoa kwa umri uo?
miaka 24-35 kula life kwanza mabinti wapo tu.
ishi mwenyewe kwanza ukipata nyege mshindo kamata visunguratope apo kitaa maisha yanasonga
au unataka uanze kupangiwa muda wa kurudi nyumbani?
Ni katoto ketu mkuu.Mkasamehe.Bado anatibu chunusi zake kwa sabuni nyeusi kutoka Kenya.Una 25 years unatafuta mwanamke wa kuzaa nae ila awe "mweupe na beautiful"
Wewe ni nyege zinakusumbua.
Kaa chini utulie.
HahahaNi katoto ketu mkuu.Mkasamehe.Bado anatibu chunusi zake kwa sabuni nyeusi kutoka Kenya.
Aiseee nipo hapa Gaza.Tunatoa kipigo tu.Karibu sana.Hahaha
Vp mkuu upooo?
Whaat😳?Aiseee nipo hapa Gaza
Unashangaa au nimuite@braza j?Whaat😳?
yaani umeongea point kubwa sana,level ya PHDBloo PhD imefanyaje
Elezea kwa kina tukio lilivyo, ni uzembe wa namna gani ili upate msaada.Ndio kwanza una 25yrs🙄.
Anyways hivi wakuu hakuna namna mtu anaweza kuwashitaki madaktari kwa kusababisha kifo cha mtu kwa uzembe?,.
Hivi jamani leo Tanzania ni holiday?Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo:
19 to 32 years
Mweupe na beautiful
Mrefu kiasi
Sio mnene wala mwembamba sana
Mwenye dimpoz
Awe tayari kushiriki tendo
Mwenye kujua kulea mtoto
Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3 years nitatoa hela shillingi milioni tano cash
Sihitaji ndoa wala mahusiano
Kama una vigezo njoo pm au mshirikishe rafiki yako/dada yako