Natafuta Mwanamke wa kuzaa nae tu!

Natafuta Mwanamke wa kuzaa nae tu!

Atajuaje kulelea mtoto wakati hajawai kuzaa?
 
Form two ulikua. Na umri gani kama sio 15
Bro upo sahihi sana Mimi ki hadi sasa nina mtoto mmoja ambae nilimpata nikiwa form 2 kipindi hicho nasoma na kwa sasa nimeamua kupata mtoto mwingine na nimetaja sifa hizo ili mtoto awe mzuri kama mwenzake wa kwanza,,, kifupi kila mtu na machaguo yake
 
Si umeona anajiita Tumbili wa mjini akifanya mistake hiyo Anakwenda kuwa Tumbili wa Kijijini.
Nilijifunza hizi relationships usipokua makini zinaharibu Visions za vijana wengi... ndoto zinakufa kabisa!
Yaaaah mkuu yan ukiwa wa kiume jaribu kupambana kutimiza ndoto zako sababu hakuna mtu anaekujali moja kwa moja, asije mwanamke akasema tutatimiza ndoto pamoja utapotea...NO BODY CARES ABOUT YOU , NO BODY GIVES A DAMN ABOUT WHAT YOUR DOING, They will talk about you for a bit and they will start minding their own business, so when your dealing with your dealing, like pursuing your dreams don't give a damn f what people say, you on your beast mode and do what is going to make you the best, leave these bitch3z alone they are going to spend a lot of your time and money. Keep your money to your self, ukiwa unataka kutimiza ndoto zako unatakiwa uwe katili mambo ya huruma huruma yameangusha vijana wengi sanaaaa.
 
Back
Top Bottom