Tumbili wa mjini
JF-Expert Member
- Nov 2, 2024
- 1,125
- 2,233
- Thread starter
- #121
Bloo PhD imefanyajePHD!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bloo PhD imefanyajePHD!!
Mtoto wa mpangaji wetu nyumbani,. Ni leo Asubuhi amefarikialie fariki, ali kuwa mdogo ako??
Kuoa ni UFAL(A) Mkubwa sanaaaKwa hiyo wewe unashauri vijana wakatae ndoa au unashaurije mkuu?
DuuuhIna wezekana, ila mpaka mgundue kuna mistake ili fanyika.
Mfano dokta kulewa au kutokuwa katika utimamu wake wa kazi.
DR Mambo Jambo, Dr am 4 real PhD
Aisee mna weza washitaki, na kushinda.Duuuh
Ishu ni walimpa dawa tofauti na homa aliyokuwa anaumwa,. Wamemuoverdose na ni mtoto mdogo sana
Manesi mnapenda kuwachongea madaktari!! Unamwelekeza ndugu wa mgonjwa akamfunge Daktari wagonjwa utawatibu wewe??Sijaelewa I
Subiri police waone na wewe mnunua binadamu soon utaswekwa ndaniNitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3 years nitatoa hela shillingi milioni tano cash
Sihitaji ndoa wala mahusiano
Una umri gani?
Mi nakushauri ungeenda maabara tu ukaumbe wakwakoNina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo:
19 to 32 years
Mweupe na beautiful
Mrefu kiasi
Sio mnene wala mwembamba sana
Mwenye dimpoz
Awe tayari kushiriki tendo
Mwenye kujua kulea mtoto
Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3 years nitatoa hela shillingi milioni tano cash
Sihitaji ndoa wala mahusiano
Kama una vigezo njoo pm au mshirikishe rafiki yako/dada yako
31Una umri gani?
Bado mdogo! Mimi nadeal na 35+
dah nime cheka Sana, dah eti kazi😆😂
kwa mwezi nikisuasua sana nakuwa na 50-80M kwa benki.Bado mdogo! Mimi nadeal na 35+
chopper yangu hiyo master.dah nime cheka Sana, dah eti kazi😆😂
Basi unafaa!kwa mwezi nikisuasua sana nakuwa na 50-80M kwa benki.
Angalia usije kojoa kitandani