Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Kuna story moja mama alijifungua watoto mapacha na hata WAKATI wa vipimo ilionyesha ni mapacha.Ina wezekana, ila mpaka mgundue kuna mistake ili fanyika.
Mfano dokta kulewa au kutokuwa katika utimamu wake wa kazi.
DR Mambo Jambo, Dr am 4 real PhD
Mama akakabidhiwa MTOTO mmoja..mumewe akachachamaa... huwezi amini MTOTO mmoja hakupatikanaa
Jamaa akaita press akaanza kuongea na waandishi wa habari hii taarifa ipo hata YouTube jaribu ku I search
Inasemwa hii issue mpaka waziri wa afya alimfuata jamaa anyamaze jamaa akawa hataki kukubali...waziri akamwambia UNAJUA HII ISSUE YAKO IKIENDA VIRAL italeta shida na kujua trust ya hospital na huduma za afya Tanzania so anatakiwa anyamaze..
Ni story ndeefu Sanaa na hapa nipo busy kiasi nikipata wasaa ntaandika zaidi..