Dei Gratia Rex
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 423
- 696
Tatizo Mali zikiongezeka na migogoro inaongezeka. Hio ukubali ukatae ndiyo ipo hivyo yan.
Usimshangae mtu anayekataa ndoa.
Kuna mtu anajiona kabisa baadaye atakuwa nani. Ila akiwaambia marafiki zake wanamcheka na kuona anatania.
Usimshangae mtu anayekataa ndoa.
Kuna mtu anajiona kabisa baadaye atakuwa nani. Ila akiwaambia marafiki zake wanamcheka na kuona anatania.