Natafuta Mwanamke wa kuzaa nae tu!

Natafuta Mwanamke wa kuzaa nae tu!

Tatizo Mali zikiongezeka na migogoro inaongezeka. Hio ukubali ukatae ndiyo ipo hivyo yan.

Usimshangae mtu anayekataa ndoa.

Kuna mtu anajiona kabisa baadaye atakuwa nani. Ila akiwaambia marafiki zake wanamcheka na kuona anatania.
 
Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo:
19 to 32 years
Mweupe na beautiful
Mrefu kiasi
Sio mnene wala mwembamba sana
Mwenye dimpoz
Awe tayari kushiriki tendo
Mwenye kujua kulea mtoto

Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3 years nitatoa hela shillingi milioni tano cash
Sihitaji ndoa wala mahusiano

Kama una vigezo njoo pm au mshirikishe rafiki yako/dada yako
Wewe Una Homoni za Kike Mwanaume Mwenye Mawazo Kama Yako Hastahili Kubaki Na Uwanaume Wake Maana Mawazo Hayo Yanakuwa Upande Ule Wa Pili Yaani Nimekasilika Sana Nakuombea Dua usifanikishe Jambo Hili .
 
Nyie wotee niliowa ""Quote"" punguzeni hasira na maisha ya mtu.
Mimi binafsi raisi wa kataa ndoa nilipata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 25
Na nimepata watoto wa mwisho (mapacha) nikiwa na miaka 34
Na sasa ni baba wa watoto wa 4 sina sina habari ya ndoa na sitaki ndoa.

Iko hivi ....
Kila mtu ma staili yake ya maisha na usilete dharau na matusi kwa life style ya mtu kisa hajafata life style yako

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwa Hiyo Unataka Kusema Nini? Kwamba Sote Tuwe Kama Wewe ?Je Kazi Hiyo Unaiweza?Yaani Kama Unapigwa Miti Basi Sote Tukufuate Wewe? Enjoy Maisha Yako Kivyako vyako.
 
Ili ionekane kuna uzembe umefanyika lazima upeleke malalamiko kwa aliyekuwa msimamizi wa zamu wa ile siku, ukimkosa tafuta uongozi wa hiyo hospitali, ukiwakosa nenda wilayani mtafute mganga mfawidhi wa wilaya na ukiwakosa endelea kupandisha hadi mkoani ukiwakosa peleka shtaka polisi au mahakamani.
Hivi kwanini manesi mnawachomega saaana ma CO??
 
Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo:
19 to 32 years
Mweupe na beautiful
Mrefu kiasi
Sio mnene wala mwembamba sana
Mwenye dimpoz
Awe tayari kushiriki tendo
Mwenye kujua kulea mtoto

Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3 years nitatoa hela shillingi milioni tano cash
Sihitaji ndoa wala mahusiano

Kama una vigezo njoo pm au mshirikishe rafiki yako/dada yako
Mjinga wewe unataka mwanamke wa kuzaa nae afu utaje sifa km hizo ? mshamba mkubwa wewe unataka kuzaa mtoto mwny akili na mtu muhimu baadae au unataka kuongeza takwimu za watanzania?
 
Mjinga wewe unataka mwanamke wa kuzaa nae afu utaje sifa km hizo ? mshamba mkubwa wewe unataka kuzaa mtoto mwny akili na mtu muhimu baadae au unataka kuongeza takwimu za watanzania?
Mjinga mwenyewe kenge wewe kama unajijua wewe ni pisi mbovu kaa kwa kutulia watakua warembo wenye sifa zilizotajwa
 
Back
Top Bottom