Natafuta Mwanamke wa kuzaa nae tu!

Natafuta Mwanamke wa kuzaa nae tu!

Nyie wotee niliowa ""Quote"" punguzeni hasira na maisha ya mtu.
Mimi binafsi raisi wa kataa ndoa nilipata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 25
Na nimepata watoto wa mwisho (mapacha) nikiwa na miaka 34
Na sasa ni baba wa watoto wa 4 sina sina habari ya ndoa na sitaki ndoa.

Iko hivi ....
Kila mtu ma staili yake ya maisha na usilete dharau na matusi kwa life style ya mtu kisa hajafata life style yako

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Bro upo sahihi sana Mimi ki hadi sasa nina mtoto mmoja ambae nilimpata nikiwa form 2 kipindi hicho nasoma na kwa sasa nimeamua kupata mtoto mwingine na nimetaja sifa hizo ili mtoto awe mzuri kama mwenzake wa kwanza,,, kifupi kila mtu na machaguo yake
 
Wewe unatafuta matatizo ambayo utayajutia baadae utakapoona unaanza ku loose focus ya life!
Uzae nae kisha kila mtu ale hamsini zake ukituma matumizi tu sio kwa wanawake wa kibongo! hakuna rangi utaacha kuona.
Haya mademu yene matako makubwa akili kichwani hamna, jamaa mmoja nlimkataza asizae na lile janamke akazaa nalo saivi linasumbua ile mbayaaa kabisa, ulichosema mkuu ni sure kabisa yan hakuna rangi ataacha kuona, wanawake wakibongo bwana hawajuagi wanataka nini, they be trippin all the time...
 
Huna binamu watoto wa mjomba au shangazi.
Je huna madada wa ukoo ambao watoto wao wanakuita mjomba.
Lakin pia iyo huduma muhimbili hspr inapatikana ktk moja ya matawi yake sjui ndo mlongazila hsptr
Kwanini binamu au ndugu? Nipe siri
 
Haya mademu yene matako makubwa akili kichwani hamna, jamaa mmoja nlimkataza asizae na lile janamke akazaa nalo saivi linasumbua ile mbayaaa kabisa, ulichosema mkuu ni sure kabisa yan hakuna rangi ataacha kuona, wanawake wakibongo bwana hawajuagi wanataka nini, they be trippin all the time...
Ndio maana nikataka mtoto tu sitaki mahusiano ya mda mrefu
 
Hivi hii imekaaje mimi binafsi siamini katika kutafuta mwanamke mtandaoni ili nizae nae au nimuoe hapana mtaani wamejaa na unamchunguza utakuja kuzaa na majini umu kuna wanawake wana nyonya damu za wanaume ipo siku kuna jamaa atafunguka kilicho mkuta mpaka sasa anatafuta ufumbuzi ajapata bado
 
Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo:
19 to 32 years
Mweupe na beautiful
Mrefu kiasi
Sio mnene wala mwembamba sana
Mwenye dimpoz
Awe tayari kushiriki tendo
Mwenye kujua kulea mtoto

Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3 years nitatoa hela shillingi milioni tano cash
Sihitaji ndoa wala mahusiano

Kama una vigezo njoo pm au mshirikishe rafiki yako/dada yako
Kila la kheri
 
Me namjua mmoja ana dimples, mzuri, Tall, ana shule upstairs, ila ana gubu na mood swing ile mbaya and she would want commitment, she is not a one night stand girl.
 
Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo:
19 to 32 years
Mweupe na beautiful
Mrefu kiasi
Sio mnene wala mwembamba sana
Mwenye dimpoz
Awe tayari kushiriki tendo
Mwenye kujua kulea mtoto

Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3 years nitatoa hela shillingi milioni tano cash
Sihitaji ndoa wala mahusiano

Kama una vigezo njoo pm au mshirikishe rafiki yako/dada yako
Ukipata wengi, na mie niunganishie
 
Ndio maana nikataka mtoto tu sitaki mahusiano ya mda mrefu
Hahahaha daaah ukishazaa na mtu unakua genuinely related to her/him whether you like it or not, at times you will be quarreling like husband and wife, si unajua tena the co-parenting thing does not go as planned sometimes
 
Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo:
19 to 32 years
Mweupe na beautiful
Mrefu kiasi
Sio mnene wala mwembamba sana
Mwenye dimpoz
Awe tayari kushiriki tendo
Mwenye kujua kulea mtoto

Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3 years nitatoa hela shillingi milioni tano cash
Sihitaji ndoa wala mahusiano

Kama una vigezo njoo pm au mshirikishe rafiki yako/dada yako
PHD!!
 
Back
Top Bottom