Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤠🤠🤠 Jobless mwenzangu naona umechoka kuishi bila katoto, ukipata wengi na mie niunge na mmoja nipate mtoto hata mmoja, na mie niitwe baba. Umri unatutupa alafu tupo kwa wazazi, maaha hata madogo myumbani yanaona tunalinganaMale 42, natafuta mwanamke wakuzaa nae japo na mie niitwe baba.
Huduma zote kuanzia mimba inapoingia mpaka kujifungua na malezi ya mtoto na mama yote juu yangu.
Mwanamke awe tayari kushika mimba kabla ya mwaka huu kuisha.