Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣So fun huyu mwambaNimehakiki ID mara mbili mbili nakwambia.
Sikutegea yani😆😆🤣🤣🤣🤣Nilipoona post yake tu 🤣🤣🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umri wako umeenda oa tu mkuu.
Mimi nikiwa mzima hadi 40yrs nitaoa ila sio kwa ndoa.
Male 42, natafuta mwanamke wakuzaa nae japo na mie niitwe baba.
Huduma zote kuanzia mimba inapoingia mpaka kujifungua na malezi ya mtoto na mama yote juu yangu.
Mwanamke awe tayari kushika mimba kabla ya mwaka huu kuisha.
Kuchapiwa ata ukiwa na miaka 27 unachapowa tuu.Huu umri wa 40+ magonjwa nyemelezi ni mengi tezidume,kisukari, kukosa nguvu za kijinsia na presha so jiandae kuchapiwa
Wamakataaa wanasea eti tufunge ndoa...mie sitaki ndoa nataka mtoto tuu niitwe na mie babaYani hawa ndo wanaume? The fact kwamba umemkosa kote kunaonyesha jinsi Una matatizo, mjinga tu, and desperate will fall into this trap
Huyu mtu ana aminika kweli? Nataka nijilipue nishaurini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamakataaa wanasea eti tufunge ndoa...mie sitaki ndoa nataka mtoto tuu niitwe na mie baba
Aisee bwana lazima huu mwaka nitie mtu mimba ili niitwe baba sio utani. Sio kila leo nakojolea nje tuu🤠🤠🤠 Jobless mwenzangu naona umechoka kuishi bila katoto, ukipata wengi na mie niunge na mmoja nipate mtoto hata mmoja, na mie niitwe baba. Umri unatutupa alafu tupo kwa wazazi, maaha hata madogo myumbani yanaona tunalingana
Njoo mrembo unizalie jamani. Yaani wee utapewa matunzo yote mie cha msingi nipate mtotoHuyu mtu ana aminika kweli? Nataka nijilipue nishaurini
Wao tuu wanachukulia kama jokes lakini ukweli mie kwa sasa nimejikhta nina hamu sana ya kuwa baba.
Embu ngoja atujibu🤣🤣Huyu mtu ana aminika kweli? Nataka nijilipue nishaurini
Mama siwezi kwenda kumwambia maana alishanikataza sana mambo ya kugegegda wanawake hovyo hovyo so wala hatuongeiKamwambia Mama yako, anaweza kukwambia uko wenu Una shida gani!
Kwani :
- mtaani
- kazini
- kanisan/msikitin
Kote umekosa wa kuzaa Naye! Mzima kweli wewe?
Si uchague mmoja kati ya mbususu unazo chakata kila siku? Au mwenzetu unatupigaga fixNjoo mrembo unizalie jamani. Yaani wee utapewa matunzo yote mie cha msingi nipate mtoto