Natafuta mwanamke wa kuzaa naye

Natafuta mwanamke wa kuzaa naye

Huu umri wa 40+ magonjwa nyemelezi ni mengi tezidume,kisukari, kukosa nguvu za kijinsia na presha so jiandae kuchapiwa
Maradhi ni mitihani ambayo kila mja hupitia na wengine huvuka mitihani hiyo na wengine huwaondoa......

Wapo vijana wenye maradhi kama hayo na wengine wamezaliwa nayo na pia Kuna wazee wenye umri mkubwa na hawana maradhi hayo wako na afya njema......si vyema kunasibisha umri mkubwa na maradhi kwani hakuna mtimilifu juu ya Hilo.......

Alafu huwa mnapata wapi ujasiri wa kusema miaka 40 ni mzee....mbona bado ni kijana mbichi kabisa.......Tena anakuwa ni kijana mwenye ufahamu mkubwa na mwenye kuaminika kwenye jamii.......sijui nani amewadanganya kuwa mtu mwenye miaka 40 ni mzee.......

Kuanzia miaka 40 ndio mwanadamu anaanza kuifurahia Dunia kwani ufahamu wake umekuwa juu ya Dunia na watu wake hivyo kuanza kuishi maisha ya ndoto yake huku akijua anachokifanya maishani..

Mwanaume Mungu akimuepusha na maradhi anakuwa active mpaka miaka 80 huko......nawafahamu watu kibao wenye miaka zaidi ya 70 na still wapo vizuri na wanafanya shughuli vyema kabisa.........
 
Nyoooo nani wa kuzalishwa kama dogii
Kama wee hutaki sawa....ila mie nachojua ni kwamaba nahitaji kuwa baba now. Suala la dogii hilo umeliona wewe. Mie nitahakikisha huduma zote mama na mtoto wanapata
 
Wee mie nataka mwqanamke responsible ambaye najua anaweza lea mtoto vizuri. Bae maid sii mtoto nitakuta anagonga pombe au ndio kawekwa pembeni mama yake anagegedwa. Nataka a decent lady
Sasa jamaa angu hakuna decent lady atakubali huu utopolo😂😂😂

Yani huu mchakato unatakiwa uufanye na mwanamke wa hovyo ambaye akishazaa tuu atakuletea mtoto ili yeye aendelee na michakato yake.

Ila decent lady eti akuzalie kisha akutunzie mtoto? Uliona wapi hiyoo😂😂
 
Back
Top Bottom