Natafuta mwanamke wa kuzaa naye

Natafuta mwanamke wa kuzaa naye

Acha uoga wewe.
Walio kwenye ndoa ndo wanaongoza kwa kula mbususu kuliko ambao hawajaoa...waulize wenzako
Hajui ukishaoa tuu mbususu zinaanza kumwagika zenyewe, sijui kwa nini😂😂😂
 
Maradhi ni mitihani ambayo kila mja hupitia na wengine huvuka mitihani hiyo na wengine huwaondoa......

Wapo vijana wenye maradhi kama hayo na wengine wamezaliwa nayo na pia Kuna wazee wenye umri mkubwa na hawana maradhi hayo wako na afya njema......si vyema kunasibisha umri mkubwa na maradhi kwani hakuna mtimilifu juu ya Hilo.......

Alafu huwa mnapata wapi ujasiri wa kusema miaka 40 ni mzee....mbona bado ni kijana mbichi kabisa.......Tena anakuwa ni kijana mwenye ufahamu mkubwa na mwenye kuaminika kwenye jamii.......sijui nani amewadanganya kuwa mtu mwenye miaka 40 ni mzee.......

Kuanzia miaka 40 ndio mwanadamu anaanza kuifurahia Dunia kwani ufahamu wake umekuwa juu ya Dunia na watu wake hivyo kuanza kuishi maisha ya ndoto yake huku akijua anachokifanya maishani..

Mwanaume Mungu akimuepusha na maradhi anakuwa active mpaka miaka 80 huko......nawafahamu watu kibao wenye miaka zaidi ya 70 na still wapo vizuri na wanafanya shughuli vyema kabisa.........
Mimi nina 40+ wanasema bado mtamu....ingawa sipigi round nyingi lakini ukiona mwanamke anapoteza sauti au fahamu kwa muda wakati wa tendo ujue kitu na box
 
ungesema unahitaji wife

then akija, unabadili gear, tuanze ku-date

unamjaza fasta, kwa kuwa hutaki kuoa, unamuomba 'line pendwa'
hapa atavunja uhusiano haraka, ila tayari mtoto unaye

mi nilifanya hii trick ika-work, dogo ana miaka 4 sasa
 
ungesema unahitaji wife

then akija, unabadili gear, tuanze ku-date

unamjaza fasta, kwa kuwa hutaki kuoa, unamuomba 'line pendwa'
hapa atavunja uhusiano haraka, ila tayari mtoto unaye

mi nilifanya hii trick ika-work, dogo ana miaka 4 sasa
Akili kubwa sana....sasa itakuwaje kama akikupa na huo mtandao pendwa
 
Male 42, natafuta mwanamke wakuzaa nae japo na mie niitwe baba.

Huduma zote kuanzia mimba inapoingia mpaka kujifungua na malezi ya mtoto na mama yote juu yangu.

Mwanamke awe tayari kushika mimba kabla ya mwaka huu kuisha.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Da lejenti himself🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom