Natafuta mwanamke wa ndoa

Natafuta mwanamke wa ndoa

Wewe ni Mkristo na hujui kuwa Mke mwenye busara anapatikana kwa BWANA?

Imeandikwa hivi:
"Nyumba na mali tutarithi kutoka kwa baba zetu, lakini Mke mwenye hekima tutampata kutoka kwa BWANA" (Mithali 19:14).

Ushauri wangu kwako, mshirikishe BWANA MUNGU katika kila jambo la heri ulifanyalo wala usizitegemee akili zako mwenyewe.

Achana na hawa Wanawake wa kutafuta mitandaoni, Wanawake wanaoliwa "tunda kimasihara" hawawezi kuwa "Mke bora".

Mwombe BWANA MUNGU, omba kwa "imani" pasipo mashaka naye atakusikia na kukuongoza alipo Mke mwenye hekima.
 
Back
Top Bottom