Natafuta mwanamke

Natafuta mwanamke

Hahaha! Yaani una miaka 32 alafu unatafuta mwanamke wa kuoa mtandaoni? Mtu usiyemjua wala kuwahi kumuona physically? Aisee.

Alafu sio "kuwowa" ni "kuoa." Utajiharibia chance ya kupata mwenye vyeti.
Ahsante then katika kiswahili hakuna yaani halafu kuwahi sio kiswahili safi pia Alafu sio kiswahili
 
Back
Top Bottom