mummitto
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 318
- 245
Mimi ni mwanamke miaka 39, naishi Mwanza na Elimu yangu ni Postgraduate nimeajiriwa. Sijawahi kuwaza itafika mahali nitafute mwenza kwenye Forum kama hivi ila ni maisha.
Wahenga walisema kosea kujenga usikosee kuoa au kuolewa ndio kilichonikuta, ambae yupo serious sitaki kuumizwa tena. Ikiwezekana asiwe na uhitaji wa watoto awe aidha ni mjane mwenye watoto wake ama vinginevyo, mimi nina watoto 2 sifikirii kuzaa zaidi ya kuwalea hao 2 na sitaweza kuishi kwenye upweke kwani bado umri unaruhusu kuwa na mwenza.
Mimi sio mkabila ila sitapenda awe muhaya am sorry to say mwenye amemaliza ujana, IQ kubwa sio tegemezi, weclome. Ukiwa mkazi wa Mwanza itapendeza zaidi mapenzi ya mbali ni hedeki.
Nipo tayari kupima afya.
UPDATE:
Nashukuru sana JF. Nimeshapata mwenza.
Asanteni