Natafuta mwanaume anaejielewa tumalizie maisha yaliyobaki

Natafuta mwanaume anaejielewa tumalizie maisha yaliyobaki

Status
Not open for further replies.
Yan hakuna kuzaa.. ni kunyegeshana tu. Fully marahaa.. mamii naomba hiyo kandarasi.. Sitakuangusha. Nipo Pasians

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui nimepitaje huku, ila hii comment huenda ikanichekesha hata nikiwa mbali na simu. "Unaomba kandarasi"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ni mwanamke miaka 39, naishi Mwanza na Elimu yangu ni Postgraduate nimeajiriwa. Sijawahi kuwaza itafika mahali nitafute mwenza kwenye Forum kama hivi ila ni maisha.

Wahenga walisema kosea kujenga usikosee kuoa au kuolewa ndio kilichonikuta, ambae yupo serious sitaki kuumizwa tena. Ikiwezekana asiwe na uhitaji wa watoto awe aidha ni mjane mwenye watoto wake ama vinginevyo, mimi nina watoto 2 sifikirii kuzaa zaidi ya kuwalea hao 2 na sitaweza kuishi kwenye upweke kwani bado umri unaruhusu kuwa na mwenza.

Mimi sio mkabila ila sitapenda awe muhaya am sorry to say mwenye amemaliza ujana, IQ kubwa sio tegemezi, weclome. Ukiwa mkazi wa Mwanza itapendeza zaidi mapenzi ya mbali ni hedeki.

Nipo tayari kupima afya.
Hebu tupe historia yako kidogo japo tukuseme. Maana ni ngumu sana kumuamini mwanamke ambaye amefika age fulani na hayupo katika mahusiano. Hebu funguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mwanamke miaka 39, naishi Mwanza na Elimu yangu ni Postgraduate nimeajiriwa. Sijawahi kuwaza itafika mahali nitafute mwenza kwenye Forum kama hivi ila ni maisha.

Wahenga walisema kosea kujenga usikosee kuoa au kuolewa ndio kilichonikuta, ambae yupo serious sitaki kuumizwa tena. Ikiwezekana asiwe na uhitaji wa watoto awe aidha ni mjane mwenye watoto wake ama vinginevyo, mimi nina watoto 2 sifikirii kuzaa zaidi ya kuwalea hao 2 na sitaweza kuishi kwenye upweke kwani bado umri unaruhusu kuwa na mwenza.

Mimi sio mkabila ila sitapenda awe muhaya am sorry to say mwenye amemaliza ujana, IQ kubwa sio tegemezi, weclome. Ukiwa mkazi wa Mwanza itapendeza zaidi mapenzi ya mbali ni hedeki.

Nipo tayari kupima afya.
Nipo na rafiki yangu around 40+ anahitaji sana mke hayupo mbali na mwanza lakini ni muhaya aliyetembea .
Hajui usafi na anamtoto mmoja ameajiriwa selikarini.

Kama ni yes I can connect to him.
 
Nimependa hyo “tumalizie maisha yaliyobaki” [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umesahau kuweka Angalizo kwamba tuserengeti boy. Manake Hutu tumsingi kiuno tunadhani tukipiga ----- inatosha, watakuwa na kunywa for the rest of their lives in the name of marriage.

You will find love and you will be happy. Just stay sober upstairs na first priority Wape wanao. Angalia Sana utakaem date kabla hujamkutanisha na wanao. Because it will definitely have an impact on their lives.

Good Luck Dada. You will need it.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom