Me ni mwanamke miaka 39 naishi Mwanza elimu postgraduate nimeajiriwa…. Cjawahi kuwaza itafika mahali nitafute mwenza kwenye forum km hv ila ni maisha….wahenga walisema kosea kujenga uckosee kuoa au kuolewa ndio kilichonikuta.
Ambae yupo serious sitaki kuumizwa tena ikiwezekana asiwe na uhitaji wa watoto awe aidha ni mjane mwenye watoto wake ama vinginevyo me nna watoto 2 cifikirii kuzaa zaidi ya kuwalea hao 2 na ctaweza kuishi kwenye upweke kwani bado umri unaruhusu kuwa na mwenza…
Mimi sio mkabila ila ctapenda awe muhaya am sorry to say… mwenye amemaliza ujana ..iq kubwa sio tegemezi weclome ukiwa mkazi wa mwanza itapendeza zaidi mapenzi ya mbali ni hedeki… nipo tayari kupima afya..!!
Sent using
Jamii Forums mobile app