goodluck frednand
New Member
- Feb 19, 2020
- 2
- 8
[emoji23][emoji23] acha kutania jamaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio mkuu siunajua mambo ya vipaumbele kila MTU ana vyake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hujakosea mkuu
Wabongo wazito sana kujieleza, we taja umri wako, amesema anataka ambae ameuacha ujana, IQ iwe juu, lakini pia asiwe dependantNipo hapa ila baadhi ya vigezo vyako sijakidhi, Mimi ni tegemezi bado sina kazi ila kama upo tyari tuwe wote sawa, Nipo Mwanza.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sioni ni kwa sababu unaamua kumtusi mleta mada, kama hauna uhitaji kaa kimya tu.
Hv jamii forum tunawekaga pic zetu real… u are not serious🙂🙂🙂kwenye taarifa yako kuna kitu kime miss.
nacho ni picha yako. wengine hisia zetu mbaka tuone.
Typing error.."......awe aidha ni mjane mwenye watoto wake ...."
Kwahiyo unatafuta mwanamke mwenzio mjane au?
Aisee kama kweli hutaki kuzaa tena ebu nitafuta tumalizie maisha yaani sie ni full kusafiri tuuMe ni mwanamke miaka 39 naishi Mwanza elimu postgraduate nimeajiriwa…. Cjawahi kuwaza itafika mahali nitafute mwenza kwenye forum km hv ila ni maisha….wahenga walisema kosea kujenga uckosee kuoa au kuolewa ndio kilichonikuta.
Ambae yupo serious sitaki kuumizwa tena ikiwezekana asiwe na uhitaji wa watoto awe aidha ni mjane mwenye watoto wake ama vinginevyo me nna watoto 2 cifikirii kuzaa zaidi ya kuwalea hao 2 na ctaweza kuishi kwenye upweke kwani bado umri unaruhusu kuwa na mwenza…
Mimi sio mkabila ila ctapenda awe muhaya am sorry to say… mwenye amemaliza ujana ..iq kubwa sio tegemezi weclome ukiwa mkazi wa mwanza itapendeza zaidi mapenzi ya mbali ni hedeki… nipo tayari kupima afya..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Me ni mwanamke miaka 39 naishi Mwanza elimu postgraduate nimeajiriwa…. Cjawahi kuwaza itafika mahali nitafute mwenza kwenye forum km hv ila ni maisha….wahenga walisema kosea kujenga uckosee kuoa au kuolewa ndio kilichonikuta.
Ambae yupo serious sitaki kuumizwa tena ikiwezekana asiwe na uhitaji wa watoto awe aidha ni mjane mwenye watoto wake ama vinginevyo me nna watoto 2 cifikirii kuzaa zaidi ya kuwalea hao 2 na ctaweza kuishi kwenye upweke kwani bado umri unaruhusu kuwa na mwenza…
Mimi sio mkabila ila ctapenda awe muhaya am sorry to say… mwenye amemaliza ujana ..iq kubwa sio tegemezi weclome ukiwa mkazi wa mwanza itapendeza zaidi mapenzi ya mbali ni hedeki… nipo tayari kupima afya..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kejeli asee.Who needs a discarded scrap?