Natafuta mwanaume anaejielewa tumalizie maisha yaliyobaki

Status
Not open for further replies.
Nipo hapa ila baadhi ya vigezo vyako sijakidhi, Mimi ni tegemezi bado sina kazi ila kama upo tyari tuwe wote sawa, Nipo Mwanza.[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† wewe unataka kuwa mario?

Mungu akupe haja ya moyo wako mpendwa.
 
Sogea kipande hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli upo sereous nitext kwenye namba 0743503492 tuyajenge
 
Nipo hapa age 30, watoto 2, senior bachelor na private sector employee. Ila daslam ndo makazi yangu

Tukiunganisha familia hapo tuna watoto wa 4 nadhani wanatosha kabisa.
 
WAle ulioanza nao maisha vipi kwani ila wengi huku wana wakumaliza nao maisha labda mike wa pili
 
Mamito
Nimekuelewa vizuri sana.
Vigezo vipo wazi ila vingine kama mambo yakienda vizuri vinaweza kuji set.
I believe kila kitu kinaanza na urafiki kwanza, tena kwa kuongea.
Mengine sisi watu wazima yatajipima tu..

Jamii Forums huwa inanipa raha sana!! Sasa wewe jamaa, huyo uliyem quote na kumpigisha sound ni Mummitto kweli! 😁😁
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…