Natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu

Natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu

Mimi ni msichana wa miaka 25, ninaishi na virusi vya HIV, mkristo, ninasoma chuo naingia mwaka wa tatu. Natafuta mwanaume ikiwezekana baadae awe mume, awe mkristo, age kati 28-35, from Dsm, awe serious.

Kama uko tayari njoo pm

Hhh
 
pole dada utampata tu mnae endana
 
Wapo waelewa,kikubwa ni kuishi kwa tahadhari. Kuna watu wawili ninaowafahamu walioamua kuwa na wenza waathirika na mpaka sasa wao hawajaambukizwa
Wa tz wanavyojua unyanyapaa labda 0.05% tu ndo wapo hao waelewa unaowasema.
 
Niliwahi kufanya kazi mahali pamoja, walikuja kutest, dada alikuwa positive, dada negative, kaka akasema anaendelea na wakafunga ndoa, na nikaalikwa wanaishi maisha ya furaha na wanawatoto
 
mkuu upo siriaz tusije tukachenjuana siku kadhaa halafu ukanimwaga
 
Back
Top Bottom