Natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu

Nakupenda sana.
.Mungu wetu is our lovely God...and He will sure do what is meant your full joyness
 
"WAZAZI WAKO NI KATI YA WATU WANAJUTIA KWA NINI USIKU NA KIPINDI UNATENGENEZWA,CONDOM ZILIKUWA BADO HAZIJAGUNDULIWA...DO RESEARCH AND PLSE FEEDBACK YOURSELF PLSE
Unatokwa na maneno yote hayo kisa demu tu au na ww unadozi?
 
Sina dozi ,Niko mzima Wa afya,ila nayajua maisha,kama utakuwa chini ya miaka 22 nisamehe labda unakua,ila kama above am sorry,your parents have got loss,i do think it's something even more ve spreaded in ur rest of other life spheres,kama ni mwanaume you will die mvulana,thence you don't fit being a father
 
Mimi ni msichana wa miaka 25, ninaishi na virusi vya HIV, mkristo, ninasoma chuo naingia mwaka wa tatu. Natafuta mwanaume ikiwezekana baadae awe mume, awe mkristo, age kati 28-35, from Dsm, awe serious.

Kama uko tayari njoo pm
Hongera sana kwa ujasiri wako mungu akutangulie [emoji120]
 
Sina dozi ,Niko mzima Wa afya,ila nayajua maisha,kama utakuwa chini ya miaka 22 nisamehe labda unakua,ila kama above am sorry,your parents have got loss,i do think it's something even more ve spreaded in ur rest of other life spheres,kama ni mwanaume you will die mvulana,thence you don't fit being a father
Unahangaika na maisha wewe, huna lolote. Wenye moyo hawako JF kutoa pole za kinafiki. Mungu anakuona. Utawapata wajinga tu kujifanya unahuruma,.... si uwe mme wake bas tukuone unahuruma kweli. This is social media, nyie ndo wajinga wa FB wenye kazi ya kutype AMEN na kushare post za kifala ili mbarikiwe mpate mapesa...umevamia JF matokeo yake unasumbua GreatThikers kwa coment za kilofa. Unafikiri msaada ni kumpa mgonjwa wa HIV pole tu??? ila akijitokeza mtu wa kumuanzishia dozi unamuona ni katili, bull shit...rudi shule ww!!
 
"WAZAZI WAKO NI KATI YA WATU WANAJUTIA KWA NINI USIKU NA KIPINDI UNATENGENEZWA,CONDOM ZILIKUWA BADO HAZIJAGUNDULIWA...DO RESEARCH AND PLSE FEEDBACK YOURSELF PLSE
20171008_235300.png
pambana na hali yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unahangaika na maisha wewe, huna lolote. Wenye moyo hawako JF kutoa pole za kinafiki. Mungu anakuona. Utawapata wajinga tu kujifanya unahuruma,.... si uwe mme wake bas tukuone unahuruma kweli. This is social media, nyie ndo wajinga wa FB wenye kazi ya kutype AMEN na kushare post za kifala ili mbarikiwe mpate mapesa...umevamia JF matokeo yake unasumbua GreatThikers kwa coment za kilofa. Unafikiri msaada ni kumpa mgonjwa wa HIV pole tu??? ila akijitokeza mtu wa kumuanzishia dozi unamuona ni katili, bull shit...rudi shule ww!!
Kaka wenye moyo hawako jf wako wapi?Kuwa na compassion na mtu ni lazima uwe mume au mke wake?halafu kuwa Facebook ni dhambi au makosa,TRA,Havard,Obama,Tigo nk wote wako Facebook,makosa ya kuwa facebook nini?Great thinkers lazima wawe approved JF??

Naogopa usije ukanambia we ni graduate... Wazazi watakuwa sana hasara kubwa zaidi
 
I can not urgue with a fool, a serious fool this much. Hapo awali nilifikili unajua philosophy ya social media kumbe punga tu, let u die slow na upuuz wako.

Haina hata maana ya kujisifia eti we ni graduate na mamaako akiona bandiko lako hili atatamani angekukojoa msalani na kadegree chako hiki. You ar a mess.
Screenshot_20171009-002230.png
 
Bado hujaweza still kupata nini namaanisha,jenga hoja
 
Kiongozi utaweza kweli kutetea thesis kwa mtindo huu...
 
Back
Top Bottom