Natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu

Natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu

Wazee wa kujilipua. Mnaitwa huku, huyu yupo vizuri tu
 
Hii thread inanikumbusha JF ya miaka ya 2009/2010 iliyonifanya niifuatilie kama mgeni ambapo watu walikuwa washauri, watiaji moyo na wajuao kutenga mizaha na umakini kwa nyakati husika.

Michango japo sijaimaliza yote kusoma imenigusa na naamini imemfariji dada yetu. Hongereni wote mliotoa jumbe zenye upendo ndaniye.
Shukrani mkuu
 
All the best mamy, Mungu akujalie hitaji la moyo wako.
Ila sio lazima awe na hali kama yako anaweza kuwa HIV negative lakini akawa tayari kuwa nawe mpaka ndoa,hivyo usiweke mpaka wa hitaji lako.

Mmmh watz hawa hawa? yataka moyo.
 
Wapo waelewa,kikubwa ni kuishi kwa tahadhari. Kuna watu wawili ninaowafahamu walioamua kuwa na wenza waathirika na mpaka sasa wao hawajaambukizwa
na wewe tafuta acha story za paka na panya
 
sasa na wewe utamoenda mtu from jf bila kumjua eti awe serious we pia hauko serious labda ni views ila kama ni ishu hii nahisi sipo
 
Back
Top Bottom