Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuuHii thread inanikumbusha JF ya miaka ya 2009/2010 iliyonifanya niifuatilie kama mgeni ambapo watu walikuwa washauri, watiaji moyo na wajuao kutenga mizaha na umakini kwa nyakati husika.
Michango japo sijaimaliza yote kusoma imenigusa na naamini imemfariji dada yetu. Hongereni wote mliotoa jumbe zenye upendo ndaniye.
Kwa sababu ya hali hiyo ndio kaweka iwe first priority, lakini hata kama huna hali hiyo pia ni sawa kuwa na mahusianao naye na baadae uwe mumekwani lazima naye awe muathirika kama wewe tu?
All the best mamy, Mungu akujalie hitaji la moyo wako.
Ila sio lazima awe na hali kama yako anaweza kuwa HIV negative lakini akawa tayari kuwa nawe mpaka ndoa,hivyo usiweke mpaka wa hitaji lako.
Wapo waelewa,kikubwa ni kuishi kwa tahadhari. Kuna watu wawili ninaowafahamu walioamua kuwa na wenza waathirika na mpaka sasa wao hawajaambukizwaMmmh watz hawa hawa? yataka moyo.
na wewe tafuta acha story za paka na panyaWapo waelewa,kikubwa ni kuishi kwa tahadhari. Kuna watu wawili ninaowafahamu walioamua kuwa na wenza waathirika na mpaka sasa wao hawajaambukizwa
Nikitaka kutafuta nitatafuta wala sitahitaji ushauri/maoni ya mtu kwanzana wewe tafuta acha story za paka na panya
ushauri ulikuwa ni uache stori za uongo fikirisha ubongo ueleweNikitaka kutafuta nitatafuta wala sitahitaji ushauri/maoni ya mtu kwanza
Usiloliweza wewe wenzio wanaliweza!.......... Hakuna lisilowezekana chini ya juaushauri ulikuwa ni uache stori za uongo fikirisha ubongo uelewe
katika hao wenzio wewe umo? ????Usiloliweza wewe wenzio wanaliweza!.......... Hakuna lisilowezekana chini ya jua