Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

Ambao hawaja oa bado wako kwenye kikao wanajadiliana kuhusu mswada wa kipengele cha BIKIRA kama kipitishwe kuwa sheria au la!
Wakimaliza watakuja na jibu na huenda ombi lako likajadiliwa kwa ufasaha kabisa.
 
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)

Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)

Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Weka picha niangalie tatizo lipo wapi?
 
Nimeshakukosa.
 
Mbona hamna namba ya mawasiliano - inaelekea haupo tayari!
 
Ilitakiwa liwepo eneo maalumu kwaajili ya watu hawa, kuna kundi linapitia wakati mgumu na hawajui wapi watu wa shida moja wanaweza kukutana na kusaidiana
 
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)

Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)

Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Kila la kheri,pia usitusahau pindi ukifanikiwa.
 
Back
Top Bottom