Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Weeeh! Huo umri nilivuka kitambo sanaaa.Kama upo below 34 itikia salamu, hujambo mdogo wangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeeh! Huo umri nilivuka kitambo sanaaa.Kama upo below 34 itikia salamu, hujambo mdogo wangu?
Doh! ushakua mshangaziWeeeh! Huo umri nilivuka kitambo sanaaa.
Uliokuwa ktk umri wa kuolewa ulianza mahusiano, lkn jamii ilikwambua hupaswi kuolewa, wewe ni mdogo.Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
🤣🤣🤣 Kitambo sana!Doh! ushakua mshangazi
Ngoja nikae mbali kabisaaaa! Maana mishangazi mnakuaga na heka heka sana🤣🤣🤣 Kitambo sana!
Wengi wao wadangajiWe mwache tu, akifikisha 37 huko atabakisha kigezo cha kupumua tu na hatompata candidate hata mmoja.
Mwanamke anayezungumzia mambo ya kipato huwa namuepuka kama ukoma.
Mie mbibi kabisa🤣Ngoja nikae mbali kabisaaaa! Maana mishangazi mnakuaga na heka heka sana
We ni mdada ambae yupo Kwenye range hii 28-33Mie mbibi kabisa🤣
😅😅 Mbona umekazana kunipa utoto🙆🙆🙆We ni mdada ambae yupo Kwenye range hii 28-33
We kataaa tu lakini huchezi mbali na hapo😅😅 Mbona umekazana kunipa utoto🙆🙆🙆
Una tako kubwa?Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Habari za humu jf

Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwtuma picha mbili
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
nichekiHabari za humu jf

Kama sitakuwa nimesahau - jaribu ku-gugo mkuuDah ndoa 300 kwa mwezi ? Hii ni noma mkuu
Wachaga tatizo shepu.Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole,