Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

Uliokuwa ktk umri wa kuolewa ulianza mahusiano, lkn jamii ilikwambua hupaswi kuolewa, wewe ni mdogo.

Mila hii ikakupeleka miaka na nikienda, sasa inatafuta mtu ambae kimsingi unaweza paka hata aliwahi kuumwa uchizi. Mtandao si mahali salama.

Hili ni funzo kwa jamii, kuwa kunahitajika utamaduni mpya, kuwa dada zetu, mabinti zetu ukifika muda wa kuolewa, au akitamani mwanamme aolewe na aendelee na masomo.

Na utamaduni wa pili; vijana waoane na si lazima waishi pamoja.

Bali waoane huku kila mmoja aendelee kuishi kwa wazazi wake. Lkn pia wanakuwa huru kukutana au kuishi ktk nyumba moja. Eitha kwao mwanamke au meanamme.

Na iunzi vyote watakavyopitia vinavyoweza kusababisha kukatisha masomo aendelee kuvifanya kama wanavyosema kufanya wakiwa wanazini.

lkn ikishindika na kupata mimba vijana waelewe mimba si sababu ya kikatiza kusoma.

kuwa balozi pia ktk hili iwapo utakubaliana nami
 
Je wewe unabikra?kama utakuwa bikra Mimi Niko tayari tuwowanee
 
We mwache tu, akifikisha 37 huko atabakisha kigezo cha kupumua tu na hatompata candidate hata mmoja.

Mwanamke anayezungumzia mambo ya kipato huwa namuepuka kama ukoma.
Wengi wao wadangaji
 
Una tako kubwa?
 


nicheki
 
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)

Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole,
Wachaga tatizo shepu.

Kama huna mtoto ktk umri wa miaka 32, maana yake p2 zimetumika maboksi kwa maboksi, ama umetoa mimba mpk shetanI kanuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…