Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

msishangae, dada zetu wa kichaga kuwa single hadi umri huo ni kawaida sana kufungisha ndoa za mwanmke akiwa na umri wa miaka 35+
 
 
Sijawahi kuona msabato, mpare, msomi akitafuta mume.
Wasabato tuna magruoup yetu ya watsup tuna date sisi kwa sisi lakini pia tuna namna nyingi ya kutukutanisha na wenza ndani ya kanisa, hatuna haja na pisi nje ya kanisa na hili halitusumbui.
 
Are you bikla
 
Kila siku ni Dar pekee ndiyo kuna wanawake watafut

Wachaga wote ni wale wale watu wa maslahi na roho korosho.
Ukiwa huna pesa waweza ambiwa uinuke kwa kiti ili iwekwe ndoo ya

Hivi huwa mnamaanisha nini mnaposema 'hofu ya mungu'?

Hapa naamini mwamba ikitokea amepata changamoto yoyote kwenye shughuli zake na kipato kikaanza kusua sua huo ndio unakua mwisho wa ndoa yenu. Hii ni red flag sijui kama utaweza mvumilia mwamba
Mkuu kwa mfano Mwanamke ambaye hajaweka shughuli yoyote na hakuulizi una miliki nini je huyo ana faha kuoa?
 
Wasabato kwanini tutengwe kiasi hiki?,hata kwenye kuijaza duni🤣🤣🤣
 
Mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…