TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Mkoani hawaijui JF labda Bujibuji Simba Nyamaume tuKila siku ni Dar pekee ndiyo kuna wanawake watafuta wenza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkoani hawaijui JF labda Bujibuji Simba Nyamaume tuKila siku ni Dar pekee ndiyo kuna wanawake watafuta wenza!
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Wasabato tuna magruoup yetu ya watsup tuna date sisi kwa sisi lakini pia tuna namna nyingi ya kutukutanisha na wenza ndani ya kanisa, hatuna haja na pisi nje ya kanisa na hili halitusumbui.Sijawahi kuona msabato, mpare, msomi akitafuta mume.
Are you biklaHabari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Kila siku ni Dar pekee ndiyo kuna wanawake watafut
Wachaga wote ni wale wale watu wa maslahi na roho korosho.
Ukiwa huna pesa waweza ambiwa uinuke kwa kiti ili iwekwe ndoo ya
Mkuu kwa mfano Mwanamke ambaye hajaweka shughuli yoyote na hakuulizi una miliki nini je huyo ana faha kuoa?Hivi huwa mnamaanisha nini mnaposema 'hofu ya mungu'?
Hapa naamini mwamba ikitokea amepata changamoto yoyote kwenye shughuli zake na kipato kikaanza kusua sua huo ndio unakua mwisho wa ndoa yenu. Hii ni red flag sijui kama utaweza mvumilia mwamba
Wasabato kwanini tutengwe kiasi hiki?,hata kwenye kuijaza duni🤣🤣🤣Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Za kuambiwa changanya na zakoMkuu kwa mfano Mwanamke ambaye hajaweka shughuli yoyote na hakuulizi una miliki nini je huyo ana faha kuoa?
Mji uko bize aisee kila kitu pesaCha kushangaza dar kuna idadi kubwa ya watu kuliko mikoa yote Tanzania.
MrejeshoHabari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Mji uko bize aisee kila kitu pesa
Muda wa kuwaza mahusiano unautoa wapi
Na ukicheki bado unajitafuta
daah nimeishia kusoma apa🥺Trible:Chagga