Ushiled
JF-Expert Member
- Nov 4, 2023
- 656
- 1,153
Ila wewe 😂😂Kila siku ni Dar pekee ndiyo kuna wanawake watafuta wenza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wewe 😂😂Kila siku ni Dar pekee ndiyo kuna wanawake watafuta wenza!
GoodHabari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
😂😂😂😂noma sanaCha kushangaza dar kuna idadi kubwa ya watu kuliko mikoa yote Tanzania.
Ni kweli jamaa yupo sawa kwa population ya watu mil 6 unakosaje mke au mume kwa mwanamke?Ila wewe 😂😂
Hujawah kuolewa sawa, lkn je ushawah kulala na mwanaume ? Namanisha bikira au sio bikira ?Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Kuna sababu nyingi lakini pengine anaprefer mahusiano ya mbali au anaamini dar hamna waowaji 🤣🤣Ni kweli jamaa yupo sawa kwa population ya watu mil 6 unakosaje mke au mume kwa mwanamke?
😹😹aiseeHujawah kuolewa sawa, lkn je ushawah kulala na mwanaume ? Namanisha bikira au sio bikira ?
DAKIKA ZA JIONI KABISA....Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Miaka imekuangusha bro 😂
Waowaji❌Kuna sababu nyingi lakini pengine anaprefer mahusiano ya mbali au anaamini dar hamna waowaji 🤣🤣
Swali zuri lakini kwakutumia akili mnemba mgodi walishanza kuuchimba😹😹aisee
Sawa mkuuWaowaji❌
Waoaji✅
Good luckHabari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Good luckHabari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
😹😹Swali zuri lakini kwakutumia akili mnembo mgodi walishanza kuuchimba
Dar ndio sample ya watanzania wote kama dar hakuna Tanzania pia hakuna.Kuna sababu nyingi lakini pengine anaprefer mahusiano ya mbali au anaamini dar hamna waowaji 🤣🤣
Ngoja nihamie daslam mkuu...😊Kila siku ni Dar pekee ndiyo kuna wanawake watafuta wenza!
Ukitafuta wa show time usisite kunichekiHabari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Akikujibu hili ni Tag mkuu .Hujawah kuolewa sawa, lkn je ushawah kulala na mwanaume ? Namanisha bikira au sio bikira ?