Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

Nimesubirii sijaona muoaji, sasa mimi nimekupenda je, naweza kukuoa kwa mkopo? Kusema kweli nimekupenda binti wewe.
 
We mwache tu, akifikisha 37 huko atabakisha kigezo cha kupumua tu na hatompata candidate hata mmoja.

Mwanamke anayezungumzia mambo ya kipato huwa namuepuka kama ukoma.
 
kipato kiwe bei gani kwa siku ili tusisumbuane ukinijib nakuja pm
 
Nicheki pm vigezo vyote ninavyo
 
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Weka picha tuthaminishe
 
Nina watoto 3 Kwa hiyo Sina sifa kabisa??
 
Panua wigo mama. Sina maana hiyo unayofikiri. Namaanisha punguza masharti utu include na sisi wazee wa mujini 50+ lkn hajawahi oa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…