Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Na ww jiandae Sasa mi nishasilimu naitwa IZUDIN Ukiskia mwenye hlo jina kaleta posa ujue ni mimiHao ndo watu wa jf 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ww jiandae Sasa mi nishasilimu naitwa IZUDIN Ukiskia mwenye hlo jina kaleta posa ujue ni mimiHao ndo watu wa jf 😀
Fala sana 😂Dada punguza kigezo Cha umri, tuishi pamoja
Kaka kulala mwenyewe kipengele alfajiri kuna gap nalihisiFala sana 😂
Basi mshawishi ashushe kigezo cha umriKaka kulala mwenyewe kipengele alfajiri kuna gap nalihisi
Izudin Tena😂😂😂Na ww jiandae Sasa mi nishasilimu naitwa IZUDIN Ukiskia mwenye hlo jina kaleta posa ujue ni mimi
Hawezi kubaliBasi mshawishi ashushe kigezo cha umri
EeeeIzudin Tena😂😂😂
Wewe ni mzinguaji! Huhitaji hata huyo mke
Tumia nguvu ya ushawishi huyo ni wakoHawezi kubali
Kama una nguvu za huku chini apply mzee.Sifa zote ninazo
Wewe ume over qualify!Nina miaka 47. Nna watoto watatu mama tofauti Ila sina mawasiliano nao.
Dini nasali Kwa Mtume Mwamposa.
Natamni hii chance
Asante,Wewe ume over qualify!