Natafuta mwanaume wa kunioa

Sijui kwanini hua nina mashaka sana na hizi I'd mpya aiseeee......
Otherwise....
Mungu akufanyie wepesi katika hitaji la moyo wako
Mashaka ya nini mkuu hizo ndo fursa zenyewe.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Don't search.....let them discover u! Hii project ikiendelea enlarge ur heart! there are so many surprises and shocks in it!
 
Reactions: MC7
new member on the hunt for the life companion all the best mama
 
Reactions: MC7
Mimi nina 27yrs.
Mchaga.
Nina diploma.
Mimi siangalii sana muonekano wa nje awe na 30+yrs.
Mkristo.
Muajiriwa/aliyejiajiri.
Naomba yule aliyeserious aniPM tufahamiane zaidi.
All the best...
 
Mimi nina 27yrs.
Mchaga.
Nina diploma.
Mimi siangalii sana muonekano wa nje awe na 30+yrs.
Mkristo.
Muajiriwa/aliyejiajiri.

Naomba yule aliyeserious aniPM tufahamiane zaidi.
Niko hapa ni pm
 
Unaweza kubadili kabila nikuunganishe na jamaa mmoja ana allergy na chagga!!
 
Ase manka huko Pm unapita njia gani au unapanda daladala la wapi maana mi sijawahi kufika[emoji1][emoji1]
 
Reactions: MC7
Hivi hao jamaa wanaoomba kupiemiwa walikuwa wamejipanga kuoa au wanamchukulia mwenzao loose ball?!!..
Hayo ni maandalizi, hamuwezi kukutana leo na kuoana kesho. Hata anayeomba anajua kabisa kuna zaidi ya miezi 6 mbele ili afikie tamati ya lengo lake
 
Nasikia kuna mushushu wa kike wengi wametandaa kwenye mitandao ya jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…