Natafuta mwanaume wa kunioa

Kila la heri mkuu Mungu akupe hitaji la moyo wako,japo nina ushauri kidogo.

1.Sifa ulizoweka hazina shida maana ndizo zitakazokuletea mtu utakaekuwa na furaha nae.

2.Kuhusu mtu kuwa tayari kwa ndoa ndani ya mwaka huu hili ni tatizo na linaweza kukukwamisha kufikia hitaji lako,sasa ni mwezi wa nne,tunakaribia kufikia nusu ya mwaka,ndoa ina mambo mengi,usiharakishe mambo mwisho wa siku ukajutia uamuzi,mipango mizuri,utulivu na subira huleta matokeo bora.

3.Pata utulivu wa mawazo,ona/hisi kwamba hujachelewa kuingia kwenye ndoa,muombe Mungu akujalie mtu sahihi.

Kila la heri kwako[emoji1666]
 
🎢🎢usije itaka harusi kwa pupa,Usije itaka harusi ukarudi na taraka.
usikimbilie mume ukaukondesha moyo x2🎢

sasa ukitaka kujua aliye imba alikuwa anamaanisha nini wewe jidai kuharakisha mambo tu.
 
[/QUOTE]
Uwepo wa chura na bikra hujazungumzia
 
Uwepo wa chura na bikra hujazungumzia[/QUOTE]

Haha sinaa kabisa ni tatizo
 
Hua havikosi vitu vya kuninyima sifa mwanzo ilikua ni umri pekee leo imeongezeka urefu.

Mungu akujaalie.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nikufanyie mpango kwa Tausi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…