Kuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine
Mjumbe hauwawi mkumbuke
Kigezo cha dini nimeshindwaKuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine
Mjumbe hauwawi mkumbuke
ahaaa acha ujinga bna ahaaa sijui umewaza niniHuyu naona vyuma vimekaza anatafuta mtaji, we unatafuta mwanaume wa kukupa mimba halafu unataka akulipe tena? godamit..... huyo Mtoto utaweza kumtunza sasa?????? haaa haaaaaa anaweza kukuambia imetoka au akameza vidonge isishike kwi kwiiiiii
Ukipotea kusikojulikana je?pesa kwanza wewe mjini hapa
ahaaa acha ujinga bna ahaaa sijui umewaza nini
Na kwa nini upende hela?itakua nje ya ya JF maana humu si wewe hufai hata kidogo πππ
embu nisaidie kushangaaa, mm hata laki moja simpi!wanaume wenyewe hawa wa Jf watoe m5 ?? ha ha ha ha
sasa watu watampataje bila kuweka mawasiliano yake? halafu muulize shida ni yake au? mimi nilidhani yeye ndo alitakiwa amlipe mwanaume wa kumpa hiyo mimba, yaani mimi nilipie kumpa mimba mwanamke ili iweje labda, labda kama ni mtoto wa mfalme.Kuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine
Mjumbe hauwawi mkumbuke
njaa zitawaua, *****Kuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine
Mjumbe hauwawi mkumbuke
[emoji23] [emoji23] [emoji23]wanaume wenyewe hawa wa Jf watoe m5 ?? ha ha ha ha
Hii ndiyo njia ya kisasa ya kujiuza?Kuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine
Mjumbe hauwawi mkumbuke