Natafuta mwanaume wa kunipa mimba

Natafuta mwanaume wa kunipa mimba

Kuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine

Mjumbe hauwawi mkumbuke

Huyu naona vyuma vimekaza anatafuta mtaji, we unatafuta mwanaume wa kukupa mimba halafu unataka akulipe tena? godamit..... huyo Mtoto utaweza kumtunza sasa?????? haaa haaaaaa anaweza kukuambia imetoka au akameza vidonge isishike kwi kwiiiiii
 
Kuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine

Mjumbe hauwawi mkumbuke
Kigezo cha dini nimeshindwa
 
Huyu naona vyuma vimekaza anatafuta mtaji, we unatafuta mwanaume wa kukupa mimba halafu unataka akulipe tena? godamit..... huyo Mtoto utaweza kumtunza sasa?????? haaa haaaaaa anaweza kukuambia imetoka au akameza vidonge isishike kwi kwiiiiii
ahaaa acha ujinga bna ahaaa sijui umewaza nini
 
Kuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine

Mjumbe hauwawi mkumbuke
sasa watu watampataje bila kuweka mawasiliano yake? halafu muulize shida ni yake au? mimi nilidhani yeye ndo alitakiwa amlipe mwanaume wa kumpa hiyo mimba, yaani mimi nilipie kumpa mimba mwanamke ili iweje labda, labda kama ni mtoto wa mfalme.
 
Tatizo hapo penye dini maana Diamond angekupatia mtoto kwani ndio aliyeanzisha utaratibu wa kulipa pesa nyingi kwa vimada na kutangaza.
Pole kwa kutaka kuzaa na kiongozi wa dini na sio mwanaume
 
Back
Top Bottom