Mnama
JF-Expert Member
- Oct 13, 2010
- 2,963
- 2,694
Kuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine
Mjumbe hauwawi mkumbuke
Huyu naona vyuma vimekaza anatafuta mtaji, we unatafuta mwanaume wa kukupa mimba halafu unataka akulipe tena? godamit..... huyo Mtoto utaweza kumtunza sasa?????? haaa haaaaaa anaweza kukuambia imetoka au akameza vidonge isishike kwi kwiiiiii