Ukipata msuko suko katika mahusiano usiwe naharaka kutafuta mgine tulia kwanza hali ndoivo kwote kwoteHabari zenu wanandugu nina umri wa miaka 26 elimu Chuo kikuu nimeajiriwa katika kampuni.natafuta mwanaume alie serious na mahusiano ya kuelekea ndoa.Awe na Sifa zozote ila awe serious na mahusiano naomba ani pm kwa maelezo zaidi
Mungu akupatie hitaji lako nasi tutafata, maana wanaume waliyo serious na ndoa wamekuwa adimu sana!
Sijajua labda ni sawa na mawazo yako!
😂😂Ungesubiri kukuche vzr dada.
Na wew pia unatafuta?Mungu akupatie hitaji lako nasi tutafata, maana wanaume waliyo serious na ndoa wamekuwa adimu sana!