Natafuta mwanaume wa kuwa nae maishani

Natafuta mwanaume wa kuwa nae maishani

Awe ana Sita=Sifa?
Aku Dm=Pm?

Kila la kheri mrembo bila picha.
 
Habari zenu wanandugu nina umri wa miaka 26 elimu Chuo kikuu nimeajiriwa katika kampuni.natafuta mwanaume alie serious na mahusiano ya kuelekea ndoa.Awe na Sifa zozote ila awe serious na mahusiano naomba ani pm kwa maelezo zaidi
Ukipata msuko suko katika mahusiano usiwe naharaka kutafuta mgine tulia kwanza hali ndoivo kwote kwote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefuatilia thread zako za awali,nilichogundua ni...
1.Wewe ni kahaba mzoefu.
2.Huna ladha tena kama kutafuna shati tu halina ladha.
3.Una shida sehemu ndio maana unaachika sana.
4..
5..
.
.
.
.
.
10.
n.k

Nahitaji mke ila sio wewe.

Wanaume.
Tuwe makini,unaweza ukapata mwanamke kumbe kahaba mzoefu tena wa kujiuza ambiance pale,akaokoka ukamkutia kanisani ukasema mke ndio huyu kumbe unapotomb'a mwenzio anaendelea tu na shughuli zake hashtuki hata!!!
Hawana ladha,ni kama kutafuna kipande cha kanga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom